JINSI YA JUTENGENEZA BATIKI.

Опубликовано: 15 Июль 2026
на канале: PJ PROJECTS
31,144
130

#batiki #ujasiriamali #piusjustus

Jifunze sasa jinsi ya kutengeneza batiki kwa njia rahisi kabisa.

Ili kupata mafunzo haya mwanzo mpaka mwisho ingia www.piusjustus.com ikifunguka kuna picha mwanzoni kabisa ibonyeze utapelekwa moja kwa moja kwenye darasa letu. Katika darasa letu hilo utakuta masomo mengine kama sabuni ya kipande, ya maji n.k.

Kwa mawasiliano zaidi.
Whatsapp tu | 0659908078
Meseji tu | 0754745798
Email: [email protected]