464- Sifa Na Tabia Za Mja Zimeumba Na Allaah - ´Allaamah Ahmad an-Najmiy

Опубликовано: 06 Август 2026
на канале: FatwaZaWanachuoni
131
1

Sifa Na Tabia Za Mja Zimeumba Na Allaah

Swali:
Ipi rai yako kwa anayesema kuwa sifa ya ukarimu anayosifika nayo mwanaadamu imeumbwa?

´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy:
Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) ndiye Aliyemuumba binaadamu na tabia yake. Ukarimu, ushujaa n.k. [sifa] hizi zimeumba Allaah kwa waja Wake.

Chanzo:    • 464- Sifa Na Tabia Za Mja Zimeumba Na Alla...