'Hii ni tume yangu, ni kama ya Makinikia'-Rais Magufuli

Опубликовано: 15 Октябрь 2024
на канале: Millard Ayo
7,657
34

Taarifa iliyotolewa leo December 20 2017 kuhusu yaliyojiri katika Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kikao cha kwanza baada ya Mkutano Mkuu wa Taifa wa Tisa wa Mwaka 2017 imeeleza kuwa Rais Magufuli ameunda Tume ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM) itakayokuwa na jukumu la kwenda kufuatilia
Mali za Chama kote nchini Tanzania. Wafuatao wameteuliwa
kuwa katika Tume ya CCM ya kufuatilia na kuhakiki Mali za
Chama; -
1. Dkt. Bashiru Ali Kakurwa – Mwenyekiti wa Tume
2. Walter Msigwa – Mjumbe
3. Albert Msando – Mjumbe
4. Galala Wabanhu (Hananasif) – Mjumbe
5. Albert Chalamila – Mjumbe
6. William Sarakikya – Mjumbe
7. Komanya Kitwara – Mjumbe
8. Dkt. Fenela Mkangara – Mjumbe
9. Mariam Mungula – Mjumbe

Tume hii itafuatilia mali za Chama kokote ziliko na itamhoji
kila mtu anayehusika katika Chama na katika Serikali.