MBAO ZA KUGANDISHA SABUNI ZA MCHE - SOAP MOLDER
Kwa oda tu. Unailipia kisha inatengenezwa kwa siku 1. Kesho yake unaifata ofisini kwetu, au kutumiwa sehemu ulipo.
Kuna kubwa na ndogo.
1. Ndogo ya ujazo wa lita 10 mafuta. Lita 5 caustic soln. Miche chini ya 30.
BEI YAKE 25000 TSH.
2. kubwa ya ujazo wa lita 20 mafuta. Lita 10 caustic soln. Miche chini ya 60.
BEI YAKE 50000 TSH.
Njoo ofisini Tabata Mwananchi, lipia. Au tuma moja kwa moja kwa
0684863138 / AirtelMoney / MOHAMMED GAWAZA.
........