Solomon Ndung'u & Elizabeth Kamau - Mikononi Mwako (Official Video)

Опубликовано: 11 Июль 2026
на канале: ATL Entertainment Kenya
2,679
41

Click on this link to buy this song: https://goo.gl/rAj4vL

Contact Us:
Solomon Ndung'u: +254773184005
Elizabeth Kamau on Facebook: @ElizabethKamauMusic
Elizabeth Kamau on Twitter: @Elizabeth_Kamau
Solomon Ndung'u on Facebook: @SolomonNdunguMusic
SolomonNdungu on Twitter: @SolomonNdunguKE

A gospel Swahili song performed by Solomon Ndungu and Elizabeth Kamau.
Written by Solomon Ndungu.
Programming done by Amos Karanja.
Video directed by Richie G.

Mikononi Mwako Lyrics:

Nikitazama mbele nakuona, nyuma yangu waonekana
Mwanzo na Mwisho wangu wewe wanitazama
Waelekeza njia zangu, walainisha mapito yangu
Usiye na mwisho waniongoza
Kwa nini nimpende mwingine?
Kwa ni' nimwabudu mwingine? ooh
Nimo mikononi mwako oo oo ooh
Wasiwasi sina tena, kwako oo furaha yangu yakaa

Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, wanitazama
Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, waniongoza
Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, wanitazama
Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, waniongoza

Neno lako ni taa ya miguu yangu
Na mwangaza wa njia zangu ooh
Wewe ndiwe nanga ya maisha yangu
Moyo wangu u salama
Kwa nini nimpende mwingine?
Kwa ni' nimwabudu mwingine? oo
Nimo mikononi mwako oo oo oo ooh
Wasiwasi sina tena, kwako furaha yangu yakaa

Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, wanitazama
Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, waniongoza
Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, wanitazama
Nimo Mikononi Mwako,
Nimo Mikononi Mwako, waniongoza

oo oo ooh yea yeah

Ending:
Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako
Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako
Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako
Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako