# FUNZO SERIES...OFFICIAL EPISODE 5

Опубликовано: 15 Июль 2026
на канале: DUNIA LEO TV ONLINE
864
26

FUNZO LA MAISHA YANGU #
NI BONGE LA FILAMU INAYO KUJIA KATIKA MUUNDO WA SERIES.
KUTOKA VIPAJI SANAA GROUP MKOANI SINGIDA-CHINI YA JASA PRODUCTION.
IKIONGOZWA NA DIRECTOR DIMMO MKALI & DIRECTOR MPH
CHINI YA UDHAMINI WA DUNIA LEO TV ONLINE ( DNTV )
KUTANA NA VISA PAMOJA NA MIKASA YA AINA MBALI MBALI,
INAYO LENGA UHALISIA WA MAISHA YETU.VIKIWAMO VISASI VYA KICHAWI, USALITI WA MAPENZI,UPENDO NA CHUKI KATIKA MAHUSIANO,
VITIMBI PAMOJA NA VURUGU NDANI YA MAISHA YA NDOA,
MICHAKATO YA UUZAJI WA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA.
NI FILAMU ILIYO SHEHENI UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU.
TAFADHALI USIKOSE KUTAZAMA NA KUFATILIA,FILAMU HII KUPITIA YOUTUBE CHANEL YETU YA (DUNIA LEO TV ONLINE) #DNTV#


.KWA HUDUMA ZA MATANGAZO
.KUREKODI VIDEO ZA HARUS
.KUREKODI MATUKIO MBALIMBALI TUPIGIE

DIRECTOR DIMMO 0754 852 596

DIRECTOR MPH 0768 071 138

#PAMOJA SANA ULIPO TUPO#