EXCLUSIVE: Hutotaka kupitwa na alichosema FID Q kuhusu Joh Makini
Опубликовано: 14 Октябрь 2024 на канале: Millard Ayo
35,582
150
Kwa miaka mingi wanahiphop wa Tanzania Fid Q na Joh Makini wamekua wakiandikwa kwenye stori za kuwa na beef na ni sababu ya kufananishwa kwenye level za muziki.