Fahamu kuhusu jinsi ya kupiga PICHA za SELF-PORTRAITS :-)

Опубликовано: 21 Май 2026
на канале: Nito Vlado
558
20

Please watch: "JACQUELINE BRIDAL SHOWER "
   • JACQUELINE BRIDAL SHOWER   -~-
HI:
leo nimeonesha na kuelezea maana na jinsi ya kupiga picha aina ya Self Portraits na hizi hua ni ngumu kupiga sana husumbua mara nyingi kwenye jinsi ya ku FOCUS, lakini ni vizuri kutumia MANUAL FOCUS kuliko AUTO FOCUS kwa sababu Auto hua huama hama yenyewe inaeza ika focus kitu kingine badala ya mhusika mkuu ( Main Subject )….picha hizo nimepiga na kuedit kwa kutumia Adobe Photoshop na nlichofanya ni kinaitwa Photo Manipulation. Mwisho wa Video mtaona Before and After. Adios!
_____________________________________________________
VITU VILIVYOTUMIKA:

1. INSEESI speedlight with LED light inbuilt
2. Green sheet (as a Green Screen)
3. Samsung Point and Shoot Camera
4. Tripod stand
5. Backdrop Stands
_____________________________________________________

Follow me on Instagram:

  / nitovlado  
___________________________________________
Tazama video kisha usisahau ku SUBSCRIBE na ku SHARE kwenye magroup mbalimbali pamoja na kueka comment yako kama una marni, ushauri au maswali ama ungependa video ifuatayo nielezee nini kuhusu Photography, Photoshop, Lightroom ama kwenye Premiere Pro




Jinsi ya kutengeneza CARICATURE

   • Jinsi ya kutengeneza CARICATURE :-)  


JINSI YA KU BLUR BACKGROUND KIURAHISI
   • Jinsi ya ku BLUR BACKGROUND kwa urahisi :-)  


Unahitaji PICHA zenye muonekano MZURI?! Tazama hapa
   • Unahitaji PICHA zenye muonekano MZURI?! Ta...  


Mambo MUHIMU ya kuzingatia wewe kama Photographer
   • Mambo MUHIMU ya kuzingatia wewe kama Photo...  


Jinsi ya kuweka LOGO / WATERMARK kwenye Picha (Photoshop + Simu)
   • Jinsi ya kuweka LOGO / WATERMARK kwenye Pi...  


Je, unahitaji kununua CAMERA? zingatia vitu hivi
   • Je, unahitaji kununua CAMERA? zingatia vit...  


Fahamu jinsi ya kuEdit aina ya Effect iitwayo (GEAR FACE EFFECT)
   • Fahamu jinsi ya kuEdit aina ya Effect iitw...  


Fahamu kuhusu LIGHTROOM na PHOTOSHOP
   • Fahamu kuhusu LIGHTROOM na PHOTOSHOP :-)  


Fahamu kuhusu jinsi ya kupiga PICHA za SELF-PORTRAITS
   • Fahamu kuhusu jinsi ya kupiga PICHA za SEL...  


Fahamu kuhusu aina ya PICHA iitwayo LIGHT PAINTING PHOTOGRAPHY
   • Fahamu kuhusu aina ya PICHA iitwayo LIGHT ...  


TIPS: Jinsi ya kuanza MACRO PHOTOGRAPHY
   • TIPS: Jinsi ya kuanza MACRO PHOTOGRAPHY :-)  


PHOTO HACK : JINSI YA KU "FAKE" MAZINGIRA YA KUPIGIA PICHA
   • PHOTO HACK : JINSI YA KU "FAKE" MAZINGIRA ...  


FAIRY LIGHTS PHOTOGRAPHY TUTORIAL (+ Sample Photos)
   • FAIRY LIGHTS PHOTOGRAPHY TUTORIAL (+ Sampl...