Sponsors:
BONGO PLAN
/ @bongoplan
KHALITECH STORE
/ khalitechstore
MSWAHILI KITCHEN TZ
/ @mswahilikitchentz
..............................
Camera used: Nikon D3300 DX
Lens: Kit Lens 18-55mm
Zomei Tripod
Edited on Premiere Pro
Other Items used:
Go Pro camera
HD Camera
Volkano Camera
................................................
Hello, baada ya kimya cha mda mrefu kutokana na majukumu ya hapa na pale nimerudi tena na leo nimewaelezea kuhusu kamera hizi ambazo zinaitwa Action Cameras ama Sports Camera. Baadhi ya Camera hizo hufahamika kama GoPro, DJI Action, Insta360, Eken, Akaso, Volkano, Theta n.k.
Tazama video hiyo upate kujifunza zaidi na zaidi kuhusu kamera hizo ambazo ni ndogo kwa umbo ila zina uwezo mkubwa sana ambao huwezi kuufikiria.
.............................................
KULA CHUMA HIKOOOO, KIVUUUUMBI LEEEOOOOO :-D
..............................................
Tembelea page yangu ya Instagram: NITOVLADO
/ nitovlado
/ amazingnito
..................................................................................................................
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE
__________________________________________________________________
Kama una maswali, maoni au unataka kipindi kijacho nielezee nini naweza kucomment chini ya video hii. Karibuni Saaana
__________________________________________________________________
Contact via
WhatsApp: +255 763 544 735
Email: [email protected]
...................................................................................................................
#actioncamera #gopro #djiaction2 #insta360 #sports #movie #youtube