MSALA Ni Filam inayoelezea maisha ya kijana Junchi anayepitia matatizo ya kimaisha ambayo hakuwahi kuyawaza , Karibu kuitazama Series hii
Wahusika :
Junchi Lava
Mudathiry Nombo
BeniBeats
Story By:
Dastani Ferdinandi
Camera Man & Editing :
2nyifx & Vanfx
Powered By :
Zeno Media LTD