Опубликовано: 13 Октябрь 2024 на канале: Millard Ayo
12,831
137
Usiku wa Oct 13, 2017 msanii Ommy Dimpoz alikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa Burudani katika jukwaa la Fiesta Classic iliyofanyika Mbeya ambapo mashabiki wake hawa kuacha kumshangilia wakati alipokuwa akiimba nao.