Videl - Nganya (Official Audio)

Опубликовано: 16 Июль 2026
на канале: VidversalKE
672
83

#odinare #nganya #matwana

Written by - Videl
Audio by - Dace Millz

Follow me on : Twitter @KeVersal
: IG @vidversalke3

Videl - Nganya
(Hook)
(Nganya nganya
Nganya inakaa ka Gatti *2
111 Kamikaze
111 Kamikaze
Nganya ni moto
Nganya ni kali
Nganya ni fire
Raaaaaaaaa Raaaaaaaaa *3)

(verse 1)
Skiza ma Doba
Ndani ya nganya
111 Kamikaze
Cheki Takeover
Cheki Passover
Cheki Milano
Body unique
Game on top
Crew on lock
Bei ni soft
Kama ma serviette
Kadere ako mbele
Gari Ina twerk
Pale Hong Ngong
Ma portrait kwa ndai
Beba ki ngwai
Tuwashe na sly
Tukue tu high
Madoba zinice
Ka trip to tao
Huwezi chelewa
Kuenda ka biz
Ama ata meeting
Ndani ya burning
Launch ya Ruto
Skiza ki reggae
Madoba zinice
Ni ku Hostile
Hapa nje
Smoke machine
Ndani ya Takeover
Magyala ka nice
Dante ni vice
Papa ndio captain
Cheki tu syndicate
Na akademiks
Exhaust ni nono
Sauti ya wagido
Katolewa hapo kwa frenno
Mbogi ka nice
Candy kapenya kwenye bar ni
Kapatana na money maker
God father of Harlem

(Hook)
Nganya nganya
Nganya inakaa ka Gatti *2
111 Kamikaze
111 Kamikaze
Nganya ni moto
Nganya ni kali
Nganya ni fire
Raaaaaaaaa Raaaaaaaaa *2