RAis wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Mradi wa kusafirisha Umeme Mkubwa MW 220 kutoka Makambako hadi Songea
Pia anaweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Songea na Ujenzi wa Barabara za lami za Manispaa ya Songea (Km 10) Mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Yupo Mkoani Ruvuma kwa Ziara ya Siku Tano