NI BONGE LA FILAMU INAYO KUJIA
KATIKA MUUNDO WA SERIES.KUTOKA VIPAJI SANAA GROUP
MKOANI SINGIDA-CHINI YA JASA PRODUCTION
IKIONGOZWA NA DIRECTOR DIMMO MKALI & DIRECTOR MPH
CHINI YA UDHAMINI WA DUNIA LEO TV ONLINE (DNTV) KUTANA NA VISA PAMOJA NA MIKASA YA AINA MBALI MBALI, VIKIWAMO VISASI VYA KICHAWI, USALITI WA MAPENZI, UPENDO, VITIMBI NA VURUGU KATIKA MAISHA YA NDOA, MICHAKATO YA UUZAJI WA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA. NI SERIES ILIYO SHEHENI UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU USIKOSE MUENDELEZO WA EPISODE ZINAZOFUATA
.KWA HUDUMA ZA MATANGAZO
.KUREKODI VIDEO ZA HARUS
.KUREKODI MATUKIO MBALIMBALI TUPIGIE
DIRECTOR DIMMO 0754852596
DIRECTOR MPH 0768071138
#VIPAJI SANAAA GROUP# ULIPO TUPO