The Mafik - Niue (Official Audio)

Опубликовано: 20 Июль 2026
на канале: The Mafik
24,053
882

Haka kadada nakazimia
Haka kabinti katamtam
Haka ka shori nitakachumbia
Yani kana bidii kako bam bam

Laini laini akinishika urotouroto
Hanipi vya baarini anipa vitu vya moto vya moto
Aaah haya nifanye utakavyo
Mmmh haya nifanye upendavyo wewe Aaaahhh

•••••••••••••••••••••••
Aaaah Nigaragaze niue
Nigaragaze niue

Oya she touch my heart, my body, my Soul
( SHE TOUCH MY HEART, MY BODY, MY SOUL) X2

_____________
Instrumental 🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼
****************

Ulivyo m Cute darling wallah napata homa
Na vile unavyo smile hakianani we ni noma
The way you call me daddy ( NAPENDA )
The way you call me Babito
Na vile tukifanya Mmh mmh ooh baaa bhaabhaa

Anavyotembea kwa mikogo wanajigonga mpaka vigogo
Akipendeza sio kidogo, akipita lazima wageuze visogo
I don’t need no body else
Na nitamng’ang’ania hata wanibeze
Wanigaragazeeeeee

•••••••••••••••••••••••
Aaaah Nigaragaze niue
Nigaragaze niue

Oya she touch my heart, my body, my Soul
( SHE TOUCH MY HEART, MY BODY, MY SOUL) X2

I don’t need no body Niwewe umeniweza
Ooh no nononooooo
And I don’t need no baby ni wewe umeniwee weweweweeeee

#TheMafik #Niue #Smilesasa