Emptying Flash/EEPROM memory (Key Programming)

Опубликовано: 03 Июнь 2026
на канале: 5021tips
189
like

Kwanza ukiweka aina ya gari, hii progrogram itakuonesha chip/EEPROM ya ku deal nayo!
http://www.5021.tips/ujanja/keyprogra...

Tena, assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa    • EEPROM data (how to read, modify, delete, ...   tuliekezana!

Ukiweza kusoma data ya hiyo chip ama EEPROM ya funguo, unaweka tu hiyo data kwa hii program kiisha inafanya uchawi na kurudishiya data wa kuweka kwa hiyo.

Sii unajua ama umesikia blaa blaa kuhusu sijui 'dampu' mara 'original data' vitu namna hiyo, sasa briefly jua tu kwamba wakati gari inatengenezwa security system inakuwa kama binti bikira ya kwamba funguo yeyote itakapoingizwa mara ya kwanza, ikiwa sahihi, ndo hiyo funguo itaendelea kuasha hiyo gari!
Sasa, uchawi wa hii program ni kwamba ukiipatia data kutoka kwa hiyo EEPROM kwenye gari ya funguo liliyopotea, hii programu inafanya uchawi wa kufanya hii gari ku kubali funguo yeyote utakapoingiza mara ya kwanza, a.k.a key decoding, a.k.a virgizing a.k.a nk😄🤣😂😁😀


#KEYprogramming #lostkeys #5021tips