#JUMANNEIDD#BABA#
Baba ni muhimu sana,uwepo wake unathamani kubwa katika familia,Kwa vijana tuliowengi huwa hatuoni umuhimu wake akiwepo, na ikitokea ametoweka duniani na wewe ukaanza kufanya majukumu kama baba ndio hapo unapoona baba alikuwa mtu wa aina gani. R.I.P Baba nitakukumbuka kwa upendo wako daima kwangu na familia yetu.
Jumanne idd signed under Sgizo Music Entertainment(Instagram @ sgizo_)
Follow jumanne idd in instagram (@Jumanneidd_tz)