Nadai Dem is a funny and catchy modern gengetone music and is the first ever single from C-Jay an artist, producer and C.E.O Blacjac Recordz.
contact Blacjacrecordz on 0725104288 for music, video & animation
song lyrics
CHORUS
Nada idem bora awe amebeba tu
Tena asiwe wa form 2
Nikidoz namwaza tu, waza x 2
VERSE 1
Niko na chain za akina lil wayne, Ukiwa dem uwe kama Alaine,
Nyuma umebeba mbele sura, Ndani nikizama kamasutra ah
Mi ndo boss mi ndo husema kwa hii mtaa, Umesimama sana basi ebu kaa
Mi ndo Mr. Libido izo unaskia zinajiita wazito ni finyo, hawana kakitu (acha izo)
Usipinge boss, kula kuni udoz, akuna cha kidogo nakupa full doz
Nikiingia unashindwa utadoo what, nikitoa unalia please please boo,
(enyewe kwa ground vitu ni different)
CHORUS
Nada idem bora awe amebeba tu
Tena asiwe wa form 2
Nikidoz namwaza tu, waza x 2
VERSE 2
Nipe namba be my baby mama, short n sweet height ya wakamba,
Siezi lie walai umenibamba, kuna place nikiguza kitanda utapanda,
Nilime shamba na usiponyamba, we ni brown skin bado nitalamba
Iza iza maze nipe izo likes, chuja pia nimedunga tu za nike,
Kuna dem anadai niwe naye, nikimpata maze mi nazama all night
Siezi lose battle yangu mwenyewe, heri ata nidandie ka mwewe
Na akidai aty ni dem wa wenyewe, namshow ata mi ni boy wa wenyewe
CHORUS
Nada idem bora awe amebeba tu
Tena asiwe wa form 2
Nikidoz namwaza tu, waza x 2
VERSE 3
Kam home kuna machipo, maboy wangu hu dunga ka madingo
Alafu wah si umebeba joh mizigo,kama sio we singeimba hii wimbo
We ndo gas bila we si waki, we ndo pizza mi ni mshikaki
Mi ni meno we ndo mswaki, nangoja umade shule joh we sikufucky
Hi, mi nko high, kama uko ready basi si uniwai,
Nipige mbele alafu unipe rewind (khai ni mi unaambia ivo)
CHORUS
Nada idem bora awe amebeba tu
Tena asiwe wa form 2
Nikidoz namwaza tu, waza x 2