Confi - Historia

Опубликовано: 13 Июль 2026
на канале: Confi Muhumure
10,280
580

Contact: [email protected]


HISTORIA

Verse1
Sikiliza habari hii njema
Ni habari yenye kufariji
Kwamba Yesu yu mwema.
Wale ambao watasikia habari zako nakuona kazi ambazo Mungu amefanya watasema umebarikiwa.

Chorus
Historia yako inajulikana,kitabu chako kimeandikwa, kwa sababu leo wema wa Mungu umefika kwako.

bridge:
Ninasikia shangwe za furaha
Ninasikia ushuhuda kwako
historia yako inabadilika.

Chorus:
Historia yako inajulikana
Kitabu cako kimeandikwa
Kwa sababu leo wema wa Mungu
Umefika kwako.