Dayoo utalala official video
Written by Dayoo
Directed by Billy Lenz
Produced by O.righty
Hii ni nyimbo yangu ya kwanza kuachia katika majukwaa mbalimbali
waweza kunifuatilia katika Kurasa zangu mbalimbali kama:
Facebook: Dayoo TZ
Instagram: Dayoo TZ
TikTok: Dayoo TZ
Song Utalala
Verse 1
kiukweli mi sina kitu
hali yangu kama unavyoona
ni mishe za kule na huku
viwalo vyangu vya ilala boma
je kwel umeridhiana na mi
vijora vya buku sita utavaa baby
kuna maneno mengi mtaani
mara nakuzeesha utaimili kweli
usiropoke ukinuna ukiwa na hila
we niseme ata nikiwa na hasira
usijifunze kukaa na jambo moyoni
litakuja lisumbue baadae
utakutana na nguna
je we utakula
vya kulumangia
ndo nazingatia
msaada wa ndugu sina
je utavumilia
umekuja mazima
we uje mazima
Corus
na jee baby
utalala lala
usingizi mororo
utalala lala
kwenye bangaroo
giza totoro
utalala lala
Ghetto na ndoo tu na godoro
utalala lala
kesho tuamkie Kiporo
Verse 2
nashukuru umeona unifae
wakati ambao nipo juu ya mawe
ushaamua nshaamua na iwe
sa baadae usije unikatae
kiganjani mwangu
usiniponyoke
tupendane wambea tuwadondoshe
yani baby nishike twende wote
wakikutisha nipo ivyo usiogope
we kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby
kukupenda mbona sana tu sana baby
na je wewe
utakutana na nguna
je we utakula
vya kulumangia
ndo nazingatia
msaada wa ndugu sina
je utavumilia
umekuja mazima
we uje mazima
na jee baby
utalala lala
usingizi mororo
utalala lala
kwenye bangaroo
giza totoro
utalala lala
ghetto na ndoo tu na godoro
utalala lala
kesho tuamkie Kiporo
.
.
.
.
.
#Dayoo #Utalala #song #andybumuntu #fireboy #waitandsee # cover #Dayo #mapepe #remix #mybaby #joeboy
#nyuki_tv_team #wasafi #wcb4life #rema #simbanayanga #oxlade #fireboy #uchebe #shilole #olamide #burnaboy #wizkid #davido #starboytv #starboytery #ronaldo #messi #Manchesterunited #realmadrid #neymar #footbal #amaboko #amabokovideodancer #kachili #amabokoofficialvideo #macvoice #nenda #ep #joeboy #biatamu alcohol #rayvannyftdiamondplatnumz #rayvannyamaboko #lovenwantiti #ckay #diamondplatnumzamaboko #diamondhainisumbui #harmonizewife #ainisumbui #hainisumbui #litawachoma #nitachelewa #hiiniyetusote #watapatatabusana #chombokwahewa #chombo #masanjamkandamizaji #millardayoupdates #sammisagonews #rayvanny #diamondplatnumz #babalao #jibebe #katika #katikachallenge #harmonize #kondeboynews #alikibaunforgettabletour#wasafimedia #wasafi #wcb_tweets #wcb #watapatatabusana
#gainwithmugweru #gainwithkenyanoxygen # #gainwithwestandmugweru #iamnairobian #publicity254 #igerskenya #nairobikenya #igkenya #fashionkenya #ignairobi #iamnairobian #254fashion #gainlikes #madeinkenya #gaintrain #gainpost #gainwithxtiandela #gainwithbundi #gainwiththeepluto #gainwithmchina #kenyan #magufuli #kampeni #ccm #chadema #napenauye #zittokabwe #watuwasiojulikana #millardayo #stayhom #george
#tamba #jeje #gere #diamondplatnumz #harmonize #kondegang #kondeboy #kingkiba #hamisamobetto #shilawadu #soudybrown #zuchu #zuchuep #cover #remix #udaku #carrymastory #iamzuchu #mlimanicity #ccm #dodoma #kutiabia #fomuyaubunge #makonda #vunjabei #wcb #marioo #tikisa #mswizwa #esma #rema #alikiba #mbosso #harmonizejeshi #jeshi #richmavoko #diamondongeza #ongeza #zuchuftdiamond #litawachoma #cheche #zuchucheche #diamondlitwachoma #whozzu #tommyflavour #ibraah #nitachelewa #countrywizzy #intro #ep #album #barakatheprince #awapi #trending#hustinebieber #song #marioo #shomadjoz #rjthedj #holy #toomuch
#Repost @chatumandota @download.ins
---
#nyuki_tv_team #bongoupdatetrends #wcb4life #washkajizangu #wemasepetu #wasafitv #watapatatabusana #chombokwahewa #chombo #katikachallenge #kartikaaryan #kwangwaru #jibebe #hiiniyetusote #millardayoupdates #sammisagonews #diamondplatnumz #rayvanny #harmonize #zaritheladyboss #tumewasha #lovestorys #followtrain #follow4-followback #mungu #kiteboarding #kitenge #kitengefashion #wcb4life #washkajizangu #wemasepetu #wasafitv #watapatatabusana #chombokwahewa #chombo #Mrbongo #kwangwaru #jibebechallenge #jibebe #hiiniyetusote #millardayoupdates #sammisagonews #diamondplatnumz #rayvanny #harmonize #zaritheladyboss #tumewasha #lovestorys #followtrain #follow4-followback #mungu #kiteboarding #kitenge #kitengefashion #nyuki_tv_team #bongoupdatetrends #wcb4life #washkajizangu #wemasepetu #wasafitv #watapatatabusana #chombokwahewa #chombo #katikachallenge #kartikaaryan #kwangwaru #jibebe #hiiniyetusote #millardayoupdates #sammisagonews #diamondplatnumz #rayvanny #harmonize #zaritheladyboss #tumewasha #lovestorys #followtrain #follow4-followback #mungu #kiteboarding #kitenge #kitengefashion #wcb4life #washkajizangu #wemasepetu #wasafitv #watapatatabusana #chombokwahewa #chombo #Mrbongo #kwangwaru #jibebechallenge #jibebe #hiiniyetusote #millardayoupdates #sammisagonews #diamondplatnumz #rayvanny #harmonize #zaritheladyboss #tumewasha #lovestorys #followtrain #follow4-followback #mungu #kiteboarding #kitenge #kitengefashion