jambo natumaini uko salama kbs ila msamaani nikiwa na kusumbuwa je unajuwa kama yesu ni Mungu?? sikiliza ihi nyimbo kwaumakini alafu drop comment bila kusahau ku subscribe, like na ku zambaza Asante sana Mungu akubariki #gospel #bongofleva #christmas #jesus #godpower