Wakazi wa sehemu ya Isinya katika kaunti ya Kajiado wanakadiria hasara baada ya mvua kubwa iliyonyesha katika eneo hilo kuharibu nyumba zao. Zaidi ya mbuzi-40 walisombwa na mafuriko huku familia kadhaa zikilazimika kulala nje kwenye baridi baada ya mto Isinya kuvunja kingo zake.
Connect with KBC Online;
Visit our Website - http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter - / kbcchannel1
Find KBC on Facebook - / kbcchannel1news
Follow KBC on Instagram - / kbcnews_
#KBCNewsHour