Kwenye video hii tutapitia kazi niliyofanya kwenye Springboot - Kotlin, Laravel na kwenye Android App. Kama unataka kufahamu uhusiano huu basi usisite kuangalia video hii tukiangalia namna tunavyoweza kutengeneza api that will return the same structure ya api na kuwa consumed kwenye Android App.