DAVID DIVIN Feat BROTHER GODFREY-- WAKATI OFFICIAL

Опубликовано: 19 Октябрь 2024
на канале: David Divin
8,354
243

Nyakati tunazo ishi ni za hatari sana. Yatupasa kudumu sana katika imani huku tukiokomboa wakati maana zamani hizi ni za uovu. kuwa na mafanikio nisawa ila mafanikio ya maisha bila kuwa na ukaribu na Mungu ni Hasara. Wakati wakumtafuta Mungu ni sasa!

Isaya 55:6
Mathayo 6:25

Recorded at Divine Life studios
Producer: El shadai Studio