Jumamosi ya February 25 2017 ilichezwa moja kati ya michezo yenye mvuto na ushindani mkubwa kila inapotokea wawili hao wanapokutana.
Game ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 2-1 lakini kuna taarifa ambazo zimesambaa kuwa kuna Shabiki wa soka alifariki wakati Shiza Kichuya anaifungia Simba goli la pili.