Hii Ni kwaya ya Habari Njema kutokea Doromoni, Kiomboi - SINGIDA. Na hii Ni review ya kipande cha wimbo ukionyesha vijana wakicheza kwa uhodari wait wakimtukuza Mungu kwa kuwapa uzima Na afya.
#Gospel Music, # Mix Gospel Songs, #Gospel songs
Kila mwenye Pumzi na amsifu Bwana. Nyimbo hizi zinakupa hamasa katika kumsifu, kumwabudu na kumshukuru Mungu.