BST DOCUMENTARY

Опубликовано: 17 Июль 2026
на канале: The Bible Society of Tanzania
246
4

Baadhi ya viongozi wa Makanisa na Serikali. Wawaomba Watanzania wote na wenye mapenzi mema kuungana na Chama cha Biblia cha Tanzania, kuchangia pesa kwa ajili ya uchapaji wa Maandiko Matakatifu (BIBLIA) kwa ajili ya watoto, ili wakue katika maadili mema.

JE! UNGEPENDA KUCHANGIA BIBLIA MOJA AU ZAIDI? BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUMPATIA MTOTO, MFUNGWA NA KIJANA NENO LA MUNGU (BIBLIA).
Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la BIBLE A MONTH CLUB kwa kubonyeza link hii:-

BST01-Tsh 2,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/HucZFOaP8zB...

BST02 -Tsh 5,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/CyU3dCdd8uA...

BST03-Tsh 10,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/EQ40F0nj2jh...

BST04-Tsh 50,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/LVJrKSIWcY6...

Unaweza kutuchangia kupitia tovuti yetu https://membership.tanzanian.bible/

Ama unaweza kutuma sadaka yako ya upendo kupitia:- Kwa namba ya kampuni 890890; na Jina ni The Bible Society of Tanzania Baada ya Kulipa,
Tafadhali tupigie kwenye namba hii au tuma ujumbe mfupi kwenye namba +255 765 530 892

Na pia unaweza kulipa kupitia namba hii ya +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.

Asante sana kwa kukienzi kukiombea na kukichangia Chama cha Biblia cha Tanzania. Mwenyezi Mungu na akubariki sana.