Candlestick Patterns Zimerahishishwa: Reversal vs Momentum

Опубликовано: 23 Август 2026
на канале: FXPesa
7,555
92

Kwenye Video hii, Prudence Maximillian, Mshirika wetu wa Elimu Tanzania anaonyesha Candlestick Charts, aina ya grafu zinazotumiwa na Forex traders wengi duniani.
Jifunze jinsi maumbo kwenye grafu yanavyotumika kuonyesha nguvu ya wanunuaji na wauzaji kwenye masoko ya fedha na namna Forex traders wanavyoweza kuyatumia kufanya maamuzi sahihi zaidi.
Prudence anaelezea aina mbili za maumbo yaliyopo kwenye grafu: Reversal na Momentum.

---
Taarifa zote kwenye video hii ni maalumu kwa ajili ya elimu pekee yake na isichukuliwe kama ushauri wa kuwekeza.

Chapters
00:00 - Utangulizi wa Mifumo ya Candlestick
01:30 - Aina za Candlestick
03:00 - Mifumo ya Bullish na Bearish
05:15 - Aina za Mifumo: Momentum na Reversal
07:45 - Mifumo ya Reversal
11:45 - Mifumo ya Candlestick katika Uuzaji

👩🏾‍💻 Subscribe and follow FXPesa on social media:
Youtube:    / @fxpesa  
Facebook:   / fxpesa.official  
Instagram:   / fxpesa  
Twitter:   / fxpesa_official  
Telegram: https://t.me/+6OcIabsSdi03MjNk
TikTok: https://www.tiktok.com/@fxpesa?lang=en

📲 Test out real markets on a demo trading account: https://bit.ly/DemoAccountYT
📈 Start live trading: https://bit.ly/LiveAccountYT
🧑‍🏫 Learn how to trade: https://www.fxpesa.com/ke-en/education/

💻 Follow this link to learn how to trade on the go:
🌤 Every Monday - Friday: https://bit.ly/FXPesaMorning
🌃Every Monday, Tuesday & Thursday: https://bit.ly/FXPesaEvening