Price Action Trading Strategy Imerahisishwa

Опубликовано: 17 Июль 2026
на канале: FXPesa
11,331
193

Prudence Maximillian, Mshirika wetu wa Elimu Tanzania, anasisitiza umuhimu wa kuwa na mbinu bora wakati wa kutrade. Anaelezea Market Structures zinazotokea wakati wanunuaji na wauzaji wakiwa sokoni, na jinsi zinavyochangia katika mabadiliko ya bei sokoni. Prudence anaonyesha namna ya kuzitambua Trend, ambazo ni uptrend, downtrend na sideways au correction, na namna unavyoweza kuzitumia wakati unalichambua soko ili uweze kufanya maamuzi sahihi sokoni.

-
Taarifa zote kwenye video hii ni maalumu kwa ajili ya elimu pekee yake na isichukuliwe kama ushauri wa kuwekeza.

Timestamps
00:00 - Utangulizi wa Mikakati ya Biashara
02:30 - Umuhimu wa Kuchambua Harakati za Bei
05:00 - Kuchambua Muda Mrefu
08:15 - Mwelekeo wa Soko
12:00 - Mikakati ya Harakati za Bei
15:30 - Mifumo ya Candlestick
17:45 - Hitimisho


👩🏾‍💻 Subscribe and follow FXPesa on social media:
Youtube:    / @fxpesa  
Facebook:   / fxpesa.official  
Instagram:   / fxpesa  
Twitter:   / fxpesa_official  
Telegram: https://t.me/+6OcIabsSdi03MjNk
TikTok: https://www.tiktok.com/@fxpesa?lang=en

📲 Test out real markets on a demo trading account: https://bit.ly/DemoAccountYT
📈 Start live trading: https://bit.ly/LiveAccountYT
🧑‍🏫 Learn how to trade: https://www.fxpesa.com/ke-en/education/

💻 Follow this link to learn how to trade on the go:
🌤 Every Monday - Friday: https://bit.ly/FXPesaMorning
🌃Every Monday, Tuesday & Thursday: https://bit.ly/FXPesaEvening