Kufuzu AFCON 2025 | Msanii Foby aimba mbele ya waandishi, Kamwe apiga makofi

Опубликовано: 24 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
307
3

Msikie msanii wa Bongo Fleva, Foby ‘akigonga’ kionjo cha wimbo maalumu kuhusu Taifa Stars ikiwa ni hamasa kuelekea mechi ya #KufuzuAFCON2025 dhidi ya Ethiopia katika dimba la Benjamin Mkapa.

Ally Kamwe Mboto Haji na wasanii wengine wanogewa na wimbo huo


#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia