Ahmed Ally wa Simba awafanyia 'jambo' wakongwe Kibadeni na Manara

Опубликовано: 24 Сентябрь 2026
на канале: Azam TV
1,175
16

“Mzee Manara vilevile tumempa jezi ya Simba….atachagua mwenyewe kuvaa au kwenda kumpa……..”.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally awafanyia jambo magwiji wa soka la Tanzania , Sunday Manara na Abdallah Kibaden kwa mchango wao kwenye soka la Tanzania, aeleza sababu, wenyewe wazungumza huku utani wa jadi ukitawala…