New Qaswida I KHalid Bin Walid - Utu (Dufu Audio)

Опубликовано: 16 Июль 2026
на канале: Alfarah Foundation
6,866
31

HABARI,
Wengi ne wanaifahamu kama SUBRA kwa sababu Khalid Bin Walid Waliuita ni Usiku Wa Subra , Na wengine Tunatamani ingekuwa kama Ilivyo , Hii ni UTU , ni Qaswida mpya ya Khalid Bin Walid Iliyosomwa tarehe 26/-1/**SUBRA**

MKWALA
Moyo wa binaadam umebeba vitu×5
Waweza acha kheri ukafata ya watu
Huvuka vazi la heshima mbele za watu
Ukatembea na nguo kumbe bado mtupu

INTRO
Viumbe tumeumbwa na madhaifu
Ila isiwe sababu ya kugombana na kila mtu
Tuvumiliane wanaadama
Tusichukiane wanaadama
Aaaaaa idumu subira

Utu thamani ya mtu utu.
Utu huupati kwa kila mtu.
Utu ndani yake ni fadhila utu.
Utu huleta hekima utu.
Utu uuutu uuuuu.

Sio kama siwakosei mimi watu.
Sijakamilika mbele ya Mungu aloumba watu.

Aaaaaaaaaaaa. Aaaaaaaaaaa. Aaaàaaaaaaaaa. Aaaaaaaaaaaaa

Utu ni matendo mazuri kwa watu.
Utu ni kioo huona kila mtu.

Usihisi sikuoni kwa unayoyatenda.
Ukajiweka pembeni kama sio mlengwa.

PISI YA KUIMBA
Walopinga uisilamu
Hawana umuhimu
Ata tukiwa nao sio salama
Hata kwa mtume wa Mungu uyoo
Aliwavuruga akili
Kama Abuu Jeheli
Subira Hana
Mola tujaliee Allah Huwa Maulana Allah
Subira tuongezee Allah Huwa Maulana Allah

"ANSWAAA"
Tujifunze subira Moyo wa mtu Kichaka.



Karibu katika platform yangu ya youtube.Hapa utakutana na Qasida lenye ladha na mfundisho mahususi kwa ajili ya jamii ,pia kufurahisha na kukemea kwa njia yenye busara na ujumbe
Subscribe: ​⁠ ili uwe wa kwanza kuona kazi zangu zinapotoka


Follow Alfarah Qasida:
  / hidad_photographer  
  / hidadphotographer  
https://audiomack.com/alfarahfoundati...
  / mohamed.hidad  


More from Alfarah:
Moyo Wangu -

•    • Ustadh Farhan-Moyo Wangu (The message) off...  
ukija Usiondoke (Farhan) -

•    • Ustadh Farhan-Ukija Usiondoke (Ramadhani) ...  
Mume alokuweka Ndani -

•    • Farhan - Katulie Kwa Mumeo ( Official Audi...  
Kunyamaza Dawa (ft. Mwanacha) -

•    • Farhan - Kunyamaza Dawa (official Audio)