HABARI,
MKWALA
Moyo wa binaadam umebeba vitu×5
Waweza acha kheri ukafata ya watu
Huvuka vazi la heshima mbele za watu
Ukatembea na nguo kumbe bado mtupu
INTRO
Viumbe tumeumbwa na madhaifu
Ila isiwe sababu ya kugombana na kila mtu
Tuvumiliane wanaadama
Tusichukiane wanaadama
Aaaaaa idumu subira
Utu thamani ya mtu utu.
Utu huupati kwa kila mtu.
Utu ndani yake ni fadhila utu.
Utu huleta hekima utu.
Utu uuutu uuuuu.
Sio kama siwakosei mimi watu.
Sijakamilika mbele ya Mungu aloumba watu.
Aaaaaaaaaaaa. Aaaaaaaaaaa. Aaaàaaaaaaaaa. Aaaaaaaaaaaaa
Utu ni matendo mazuri kwa watu.
Utu ni kioo huona kila mtu.
Usihisi sikuoni kwa unayoyatenda.
Ukajiweka pembeni kama sio mlengwa.
PISI YA KUIMBA
Walopinga uisilamu
Hawana umuhimu
Ata tukiwa nao sio salama
Hata kwa mtume wa Mungu uyoo
Aliwavuruga akili
Kama Abuu Jeheli
Subira Hana
Mola tujaliee Allah Huwa Maulana Allah
Subira tuongezee Allah Huwa Maulana Allah
"ANSWAAA"
Tujifunze subira Moyo wa mtu Kichaka.
Follow Alfarah Qasida:
/ hidad_photographer
/ hidadphotographer
https://audiomack.com/alfarahfoundati...
/ mohamed.hidad
More from Alfarah:
Moyo Wangu -
• • Ustadh Farhan-Moyo Wangu (The message) off...
ukija Usiondoke (Farhan) -
• • Ustadh Farhan-Ukija Usiondoke (Ramadhani) ...
Mume alokuweka Ndani -
• • Farhan - Katulie Kwa Mumeo ( Official Audi...
Kunyamaza Dawa (ft. Mwanacha) -
• • Farhan - Kunyamaza Dawa (official Audio)