Steph Kapela - WeekenD (Vikky Secrets audio)

Опубликовано: 25 Июнь 2026
на канале: iamKAPELA
1,429
36

Written & performed by: Steph Kapela
Executive Produced by: Ivan Odie
Producer: Festus (USA)
Recording Engineer: Ivan Odie
Mixing Engineer: Ivan Odie & Jay Strings
Studio: Callivan Creatives

Follow Steph Kapela

Facebook:   / iamkapela  
Instagram:   / iamkapela  
Twitter:   / iamkapela  

Lyrics

Verse 1

Usiku wa, Ijumaa,
Kwangu ndo mpango
Mziki na mishumaa
Kam uone mambo
Kam na charger,
Mavazi za siku mbili,
Siezi kuacha,
Home mpaka Jumapili,
Si wawili,
Pilipili,
Sio siri
Tulichoma CV
Nikitazama na zama na zima tv
Ni weh wanifanya hivi, yea
Mi sina kiu sina njaa,
Nadishi kama mi mudosi
Nambeleza masaa,
Nadishi mpaka Jumamosi
Ka tamaa ni makosa,
Nimekosa,
Niwie radhi baby
Mwingine nimekosa,
Kamu closer,
Niingie ndani baby
Ka tamaa ni makosa,
Nimekosa,
Niwie radhi baby..
Nyama ya ndani baby..
Nipe samosa

Chorus x2

Baby Anadai weekend-D
Baby anadai wikendi
Baby anadai weekend D,
Baby anadai wikendi
Tupatane hii wikendi,
Come utapata weekend-D
Ka si kila siku
Basi killer yuko pending
Ka si kila siku
Basi ni killer wikendi

Verse 2

Juma tatu kila mtu njia zake,
Kwa sasa kila mtu ana kwake,
Kumbukumbu za wikendi zikufwate
Zikikulemea zilete nizikamate,
Nipe dakika chache,
Mi si mjinga niziache,
Ngozi nyororo ni ka Versace,
Mbali sana na ma rachet,
Bei kali don't touch it, yea
Vile nakuchonga
Tangu breko mpaka supper
Vile umeniroga
Nasahau ni nani rapper
Vile nazigonga
Wangedhani nakuchapa
Vile nimebonga
Mi nadhani umenipata yea

Hook

Cheza nayo
Cheza nayo cheza
Cheza nayo
Cheza nayo cheza
Na ka unaweza
Wekelea ya kwa meza
Zikiniweza,
Meza meza meza X3