Steph Kapela - Kalesa Na Leather

Опубликовано: 28 Июнь 2026
на канале: iamKAPELA
59,126
2.1k

Song: Kalesa Na Leather
Written & Performed: Steph Kapela
Produced: Luigi
Mix & mastered: Callivan Studios
Music Video: Callivan Creatives
Directed: Ivan Odie

Special Thanks to
https://theforemen.com/

Lyrics

Hook
Kalesa napiga na leather
Luku na cheza na weather
Uber nakaa na dereva
Nyuma madam wawili na beba x2

Verse1
Akiba ni nyama ya kesho
Leo nashukuru mayai,
Future ni Runda bonge la nyumba
Niweke alarm niweke Maasai (walai)
Baraka zake nyasae,
Mbogi ikidai mi na supply, (walai)
Hapa wadhii wamevai,
Zimewanice
Hipnotized (ayayai)
Kizungu ilicome na meli
Shilingi ndo msema kweli
Jirani ka turn tapeli
Ju alinicheki teli, (aligeuka)
Nashiba mpaka nashibisha wageni
Na sijalipa madeni
Vile najaza mahenny lenga vikombe
Leta besheni,

Hook
Kalesa napiga na leather
Luku na cheza na weather
Uber nakaa na dereva
Nyuma madam wawili na beba x4

Verse 2
Buda kusota najua tumesurvive
Strungi na sembe
Daily napigwa na jua
Ata za macho nameza wembe
Sidhani ingejipa na jembe
Sijidanganyi ku hustle matembe
Hukunijali mawenge usinijali nikimea pembe
Miaka ka nane majuu nasikuomoka
Shida ni gani?
Maswali ni sasa utado ju si tumesota
Alafu uongeze sahani
Lakini Mungu ni nani
Anaweza vitu ziwezekani
Tulia kaa na imani,
Tangu zamani bado yu nami

Hook
Kalesa napiga na leather
Luku na cheza na weather
Uber nakaa na dereva
Nyuma madam wawili na beba x 4