Опубликовано: 18 Июль 2026 на канале: Begge Hemedi
356
5
KAULI, zenye upendo na malengo ndio zinazoijenga familia, kitu ambacho kinakosekana kwenye familia ya bwana Athanas, NYAMA YA ULIMI inatumiwa vibaya na mkewe na kumfanya mume kuingia kwenye ulevi na hata kutamani kuisaliti ndoa yake.