Ulevi uliopitiliza, msongo wa mawazo na kutojali anayoyatenda kunamfanya KALUU MWAMBA kupoteza muelekeo wa maisha yake, kutoaminika na jamii inayomzunguka na kuwa kikwazo kwa familia anayoishi nayo hali inayopelekea kukosa furaha na maelewano na wapwa zake, tuwe pamoja katika filamu hii iliyobeba matuokio halisi kutoka kwa wasanii wenye ueledi.