#singelimpya #hiviby2vanfleva #wakichezahivisingeli #singeli
LYRICS (HIVI)
INTRODUCING
Baba farida touch touch
Oya weeeeh!
Naysco mtu mbad
VERSE(1)
Oya nimegundua nikivaaga hivi kumbe natoka chicha
Nimegundua mapozi haya napata nzuri picha
Nimegundua nikiachika napata danga jipya
Nimegundua utamu wa kucheza usogee kwenye spika
BRIDGE
Oya usiombe ipigwe singeli nachizika ile kichizi
Nimegundua wanakuwa watamu wanangu wakicheza hivi
CHORUS
Hivi
wanangu wakicheza hivi
Hivi
VERSE(2)
Oya nimegundua kuwa mi mzuri bila ya kutumia filter
Oya Kumbe ukivaa dera wowowo linatikisika
Oya Nimegundua kuna sehemu inasukari
Japo hawalimi miwa ila we tamu hatari
Kuna sehemu ukichelewa unasifiwa
Oya piga kazi siku nyengne utatunukiwa
Oya weeeeh
Nimegundua kama ukilewa unapanda juu ya meza
Nimegundua kama ukivesha style zote unacheza
BRIDGE
Oya usiombe ipigwe singeli nachizika ile kichizi
Nimegundua wanakuwa watamu wanangu wakicheza hivi
CHORUS
Hivi
wanangu wakicheza hivi
Hivi