2van Fleva _Mimi_ Official Audio

Опубликовано: 15 Май 2026
на канале: 2Van fleva
1,279
22

#unanijuamimi #singeli #singelimpya #ukinyonyashingonakuachiayoteyote


LYRICS
INTRO
Baba farida touch touch
We Naysco mtu mbad

CHORUS
Hivi unanijua mimi mimi mimi
Nikuulize unanijua mimi mimi mimi
Naysco unanijua mimi mimi mimi
Nikuulize unanijua mimi mimi mimi

VERSE (1)
Mimi mimi sipendi kujisifia sana
Mimi mimi nikikupenda we utakoma
Nakuwa sielewi sisikii na king’ang’a
Haina haja alama mpenzi wangu utajulikana
Mimi huyo

Sijui mimi au kwa wote
Ugonjwa wangu ukinyonya shingo nakuachia yote

Mimi mimi kiukweli nimeshindikana
Eti niongee neno nukta isiwe kutukana
Mama amina

Mimi sina makuu wala sio matawi
Ukinipenda nakupenda
Ukinikubali nakukubali

Weweeeeh! Wewee

CHORUS
Hivi unanijua mimi mimi mimi
Nikuulize unanijua mimi mimi mimi
Naysco unanijua mimi mimi mimi
Nikuulize unanijua mimi mimi mimi

Kama nikikuacha hakikisha unapendaza
Tena we unang’aa uzidi uzuri balaa
Sio nikuache nikukute umefubaha
Nisicheke labda mimi sio mimi
Labda mimi sio mimi


Aaah 2van huyooh
Aah 2fleva hapa

Aah nakubaliana na wewe young tozz fashion
We msuko nakubaliana na chamiy jr , canobreezy
Dylan ,Woñgwiz , kayser rk2 watoto wa mwananyamala ujiji wanangu wa 26 mapenzi
Jenny brand ,latty bae ,drafo kidd ,yung drill
Manager jimmy wa pablo ,baby myrah rida
Mwanangu Mounzery


COPYRIGHT 2025 ALLRIGHT RESERVED BY ​⁠​⁠‪@2vanfleva‬ &@maksibinah