Katika hii video utaona baadhi ya hatua nilizotumia kuchora mchoro huu uitwao , ''Binti Shupavu''. Ni mchoro wenye kuonesha sura ya ukombozi kwa watoto wa kike wa kiafrika.
N.B: Ili uone kwa utaratibu waweza punguza speed ya VideoPlayer uliyonayo.
Artist : Misa_artz
Drawing title: Brown firm Girl, 2021
Medium: Graphite & Charcoal Pencil on a Sketch paper
Music by audionautix.com