Hii video yaonesha ni namna gani unaweza kutumia gridi (mistari ya wima na ulalo itengenezayo vyumba mraba) ili kuchora piacha na mchoro. humu utajifubza namna ya kuandaa picha rejelezi na jinsi ya kuandaa karatasi kwa ajili ya kuchora mchoro kupitia mfumo wa gridi.
artist :misa_artz 🇹🇿
instagram : https://www.instagram.com/p/CWsg3cBg5...
music credits to audionautix.com
#sketching #how to draw #draw like pro #art tutorial for beginners