Simba SC imeanza na chuma tatu ikiitandika Tabora United 3-0 kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya msimu wa #NBCPremierLeague
Magoli yametoka kwa Che Malone Fondoh 14', Valentino Mashaka 69', Awesu Awesu 90'+2