Mabasi Sita ya Katarama yarejeshewa Huduma

Опубликовано: 15 Июль 2026
на канале: LatraTV
3,338
25

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imerejesha Huduma ya Mabasi sita (06) ya Katarama Luxury baada ya kufungiwa kutokana na kosa la kuondoa kifaa cha kufuatilia mwenendo wa gari kilichofungwa kwenye mabasi yake na kufunga kifaa kingine kilichosababisha utumaji wa taarifa potofu katika mfumo wa VTS