MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU DAR ES SALAAM
Опубликовано: 30 Сентябрь 2026 на канале: Ngome Tv
48
1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule , Mawaziri, Makatibu na Manaibu , Wakuu wa Taasisi pamoja na Makatibu Tawala