RC CHALAMILA AWATIMBIA WAFANYABIASHARA SOKO LA MABIBO
Опубликовано: 30 Сентябрь 2026 на канале: Ngome Tv
227
1
Mkuu wa Mkoa w Dar es Salaam Albert Chalamila akiwa katika Ziara ya Ukaguzi wa Miradi katika Wilaya ya Ubungo ametembelea Soko la Mabibo kujionea shughuli za Biashara Sokoni hapo pamoja na Kuzungmza na Wafanyabiashara hao