ATEBA KUANZA KUCHEZA SIMBA BOSI AMEBAINISHA/ AWESU/ AIR MANULA/KIBU

Опубликовано: 16 Июль 2026
на канале: Dizo Click
1,511
1

INGIZO jipya ndani ya Simba Leonel Ateba ataanza kucheza mechi za ushindani huku bosi akibainisha sababu ya nyota huyo ambaye ni mshambuliaji kukosekana kwenye mchezo dhidi ya Tabora United.

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa wameanza vizuri dhidi ya Tabora United huku wachezaji wakizidi kuwa kwenye ubora ikiwa ni pamoja na Awesu Awesu, Kibu Dennis.