AHMED Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amepewa zawadi na shabiki wa Simba mara baada ya mchezo dhidi ya Tabora United.
Med amesema ni upendo kutoka kwa Wanasimba huku akigawa zawadi hiyo huku akibainisha kuwa anakwenda kuitumia haraka furaha ya ushindi.