AJIRA MPYA ZA WALIMU 2024 NAFASI 11,015 | JINSI YA KUOMBA AJIRA PORTAL

Опубликовано: 15 Июль 2026
на канале: MDOPE UJUZI Tz 💻🌐
9,855
30

PDF LINK TANGAZO👇👇👇
https://www.ajira.go.tz/baseattachmen...


whatsapp number 0756819837


OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kumb.Na.JA.9/259/01/B/ 14 20 Julai, 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za
Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015 kama ilivyoainishwa katika
tangazo hili.