Mwadui FC 0-5 Yanga SC | Highlights - VPL 12/12/2020

Опубликовано: 29 Июль 2026
на канале: Azam TV
526,289
1.6k

Timu ya wananchi, Yanga SC leo imeishindilia Mwadui FC kipigo cha mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Yocouba Sogne aliyefunga mawili, Deus Kaseke, Tuisila Kisinda na Lamine Moro.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:   / azamtvtz  
►INSTAGRAM:   / azamsports2  
►TWITTER:   / azamtvtz  
►FACEBOOK:   / azamtvtz  
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz