Tizi la wachezaji wa Yanga na vituko vya Aziz Ki, Morrison

Опубликовано: 09 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
80,835
652

Tazama mazoe ya Yanga SC, waliyoyafanya mapema leo katika Uwanja wa El Mouradi Kantaoui mjini Sousse ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuivaa Club Africain kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) hapo Novemba 9, 2022.